DMX na girlfriend wake,Desiree Lindstrom wameripoti polisi kwamba walimpatia gari na kadi yake mtu mmoja wanaye mtambua kwa jina moja la Lonny ili aende kuliza na awaletee pesa ambapo naye atapata chake cha udalali.Kilichofuata ni inasemekana jamaa hajaleta pesa,gari wala hapatikani katika simu.
Polisi wanaendelea na kumtafuta Lonny japo wanasema itakuwa kazi kumpata sababu hawalijui jina lake la pili.
Friday, November 22, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment