Mtandao wa Hiphopdx.com unaripoti,rappa toka Los Angeles,California,Game amefumba macho na kufungua wallet kusaidia waathirika wa kimbunga huko Philippines.
Game ameshirikiana na actor/professional poker player Dan Bilzerian,kama sehemu ya mradi wao wa "The Robin Hood Project," wametoa kiasi cha dola 10,000 za kimarekani.
Game amesema,najua wengi mnajua kuhusu madhara yaliyotokana na kimbunga kibaya cha
typhoon huko Philippines na namba ya watu waliokufa inapanda siku baada ya siku,kwa siku inapatikana miili 100 mpaka 200 na namba mwanzo ilikuwa 2500.Nahiki ndicho alichokiandika Game kwa Instagram yake: Well I
am one of those people, so on behalf of @therobinhoodproject & my charitable partner @DanBilzerian
we are donating $10,000 to help aid in the relief efforts to restore
whatever possible in such a horrific natural disaster. My heart goes out
to the families & friends of those who perished for only God knows I
could not deal with the loss of any of mine.
Monday, November 18, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment