Kim Kardashian na Kanye West bado hawajaamia katika jumba walilolinunua mwezi januari kwa kiasi cha dola million 11 za kimarekani,lakini kuna tarifa zinasema wawili hao wamevutiwa na sehemu nyingine ambayo ni kiwanja kikubwa na kipo mahali ambapo ni pakiusalama zaidi.
Kim na Kanye wameonekana wakiangalia kiwanja hicho chenye ukubwa wa heka 10 wikiendi hii na tunataarifiwa ikiwa watakuwa tayari kununua bei ni dolla millioni 10.
Na katika taarifa nyingine tunaambiwa Kim Kardashian amesababisha bonge la foleni huko Los Angels baada ya polisi kumsimamisha kwa mwendo kasi uliosababishwa na waandishi waliokuwa wakimfukzia,polisi walipomsimamisha ndipo paparraz hao nao waliposimamisha magari yao na kushuka na kusababisha msongamano mkubwa wa magari barabarani.
Wednesday, November 13, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment