Rihanna alilinunua jumba hilo la kfahari kama mwaka mmoja umliopita kwa kiasi cha dola million 12.
Mwezi February iansemekana kuna mwaname mmoja alijipenyeza na kuingia katika jumba hilo na kwenda kujilaza katika kitanda alichidhania ndicho anacholalia Rihanna,mweziIn June,poilisi walimkamata mwamme mwingine aliyepanda katika paa la jumba hilo na kama haitoshi mwezi October,poilisi walimkamata mwamme mwingine aliyetaka kuingia bila rukhsa katk jumba hilo.
Tarifa zaidi zinadai Rihanna kwa sasa amepanga sehemu huko ManhattanChinatown.
Kodi ya mwezi ni dolla 65,000 ambayo ni ya muda kwani kuanzia mwezi January itakuwa dolla100,000 kwa mwezi.
Thursday, November 14, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment