Mtandao wa TMZ umeripoti kwamba rappa Kanye West amefikia muafaka juu ya kesi iliyokuwa imkabili ya kumpiga dogo wa miaka 18 tukio lililotokea january 13 huko Beverly Hills.
Ripoti zaidi zinadai Kanye West na mtuhumu wake wamefikia muafaka wa kuimaliza kesi nje ya mahakama.Chanzo kimoja cha kaibu na wahusika wa pande sote mbili kimesema muafaka umefikiwa kwa makubaliano ya dogo kulipwa kiasi cha dola 250,000 sawa na sha millioni 400 za kitanzanaia ($1=shs 1600)
0 comments:
Post a Comment