Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, January 17, 2014

 Photo: WENN.com
Ni miaka 13 sasa tangu kifo cha marehemu Aaliyah kilichosababishwa na ajali ya ndege.Wapenzi wa muziki duniani kote bado wanamkumbuka kwa kazi zake nzuri kuanzia katika tasnia ya muziki na hata filamu.


Aaliyha ni mzaliwa wa Brooklyn,alianza shughuli za muziki mwaka 1988 baada ya kufuzu katika Star Search.Akiwa na umri wa miaka 11 akiwa na shangazi yake Gladys Knight alishafahamika katika kiwanda cha muziki.

 A multi-talented triple threat, Aaliyah aliteka chati mbalibali za muziki kwa nyimbo zake kama"Are You That Somebody,Try Again"nk,na kama haitoshi upande wa filamu alifanya poa na filamu kama Romeo Must Die, Queen of the Damned.Aaliyah Dana Haughton alizaliwa January 16, 1979 na kufariki  August 25, 2001,
R.I.P Aaliyah.
Thirteen years ago, the world lost the talented siren known as Aaliyah Dana Haughton due to a tragic plane crash. Today, we celebrate her life by looking back at some of her most captivating moments - See more at: http://hiphopwired.com/#sthash.jaiE1jEl.dpuf

0 comments:

Post a Comment