Mtandao wa rapup unaripoti kwamba aliyekuwa Executive Vice President of A&R at Def Jam,The-Dream ameamua kuijitoa katika record label hiyo baada ya kuitumikia kwa takribani miaka 7.
The-Dream ndani ya Def Jam alikuwa ni mwandishi,muimbaji na mtayarishaji wa nyimbo.
Taarifa za The-Dream kujitoa Def Jam alizifanya mwenyewe kupitia Instagram baada ya kupost logo ya Def Jam na kuandika ujumbe usemao “I will miss this logo.
The-Dream akiwa ndani ya Def Jam aliachia albamu 7ikiwemo ya mwaka 2007 LoveHate, 2009′s Love vs. Money,2010′s Love King, na mixtape, Terius Nash: 1977. Mwaka jana alitoa alamu ya mwisho na Def Jam inayoitwa IV Play.
The-Dream alipewa nafasi ya kuwa Executive Vice President wa A&R ndani ya Def Jam mwaka 2012 ameproduce hits za mastaa kibao akiwamo Rihanna,Justin Bieber na Mariah Carey.
The-Dream anaondoka Def Jam bila kutaja sababu za msingi zinazomfanya aondoke.
Thursday, January 9, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment