Young Money rapper Tyga ametakiwa na mahakama kulipa dola 200,000 kwa wizi wa vito.
Inasemekana Young Money rapper Tyga amechelewa kulipa kama alivyoahidi kiasi cha dolla 100kwa malipo ya vito vya thamani alivyochukua kwa Jason the Jeweler wa Beverly Hills mwaka 2012.Mashataka haya yamekuja baada ya sonara huyo kusubiri kwa takribani miaka miwili kulipwa lakini haikuwa hivyo.
Wednesday, January 29, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment