Justin Bieber ameingia katika tatizo lingine kisheria huko Atlanta baada ya walizni wake na dereva wake kukamatwa kwa wizi wa camera.
Justin alikodisha amusement park siku ya jumanne jioni na wakati akiwa ndani moja kati ya walizi wake alitoka nje na kuwaambia paparazzi walikuwa wametanda mjengohuo kwa Bieber anatoka sasa hivi nyie tulieni,baada ya waandishi kutulia na kuzubaa ndipo mlinzi huyo alipowapora camera na kwenda nazo katika gari na kumkabidhi dereva ambaye alondoa gari na kutoweka.
Polisi walifanikiwa kumrudishia paparaz camera yake baa ya kulifuatilia gari hili na kulikuta limeegeshwa nyumbani kwa rappa Dallas Austin .
Mlinzi na dereva wamefunguliwa mashtaka.The guard and the driver were arrested for FELONY theft. The photog valued the camera at $10K.
Wednesday, February 26, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment