Mtangazaji Seth Meyers ataanza kipindi chake cha kwanza cha televisheni cha “Late Night” kwa mahojiano na rappa Kanye West.Kipindi hichi cha kwanza kitakuwa ni siku ya jumanne tarehe 25 mwezi februaly.Boss huyo wa The G.O.O.D. atashiriki tu katika mahojiano na si kutumbuiza katika kipindi hicho mida ya saa 6za usiku.
Katika wiki ya ufunguzi kwa siku ya jumatatu Meyers atakuwa kwa kipindi na maka wa raisi wa Marekani,Joe Biden.
Kabla ya kufanya late-night,Kanye will atakuwa katika muendeleza wa ziara zake za “Yeezus Tour” tarehe 13 February huko University Park, PA.
Thursday, February 13, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment