Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, February 1, 2014

0131-kim-kardashian-luis-flores
Mtandao wa TMZ unaripoti kwamba mvulana aliyeiba kitambulisho cha relity star Kim Kardashian (  Luis Flores, Jr.) atatumikia kifungo cha miaka 2 mpaka mitatu gerezani.
Luis Flores, Jr. aliingi katika mabo binafsi ya Kim ikiwemo credit card na namba za social security na kuzibadili baadhi ya vimilikishi na kuweka jina lake.
Haijafahamika moja kwa moja kwamba amefanikiwa kukwangua kiasi gani katika akaunti ila tuataarifiwa kuwaFlores hakuwibiwa tu Kim na Kris bali alidiliki kuwaibia watu kama former Director of the FBI Mueller, Ashton Kutcher,Tom Cruise,Joe Biden,Michelle Obama, Bill Ga


0 comments:

Post a Comment