Kianda cha kutengeneza bidhaa za Nike jana Feb 9 kimetoa raba toleo la Nike Air Yeezy II lililobuniwa na rappa Kanye West.Sneakers hizo zilichelewa kutoka katika muda uliopangwa kwa sababu mbalimbali za kiufundi.
bidhaa hiyo ilitangzwa kupitia akaunti ya Nike Twitter kwamba:"The Nike Air Yeezy 2 sasa vinapatikana,na msemaji wa akaunti hiyo anasema mara tu baada ya kutangazwa"The Nike Air Yeezy 2 has sold out,yaani viliisha.
Mwezi November 2013 Kanye West aliongelea kukwaruzana na Nike na kufikia kuingia mkataba na kiwanda ambacho ni wapinzani,ADIDAS.
Tazama the Nike Air Yeezy Red Octobers 2hapo chini
Monday, February 10, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment