Mshindi wa tuzo za Grammy,Rihanna anaonyesha ana mvuto a aina yake hasa pale anapowagonganisha mastaa Chris Brown na Drake ambao kashawahi kutoka nao kwa nyakati tofauti.
Mtu wa karibu wa Rihanna anasema anachokifanya star huyo kinaweza kuleta utata tena kati ya mahasimu Chris Brown na Drake,mtu huyo amesema Chriss Brown na rihanna wanawasiliana tangu Brown alipomuandikia ujumbe Rihana wa kumtakia birthday njema na tangu hapo wamekuwa wakiwasiliana sana kwa kutumiana jumbe.Rihanna anawasiliana kwa karibu na Brown wakati mapema wiki iliyopita alionekana akiwa karibu kimahaba na rappa DRake.
Friday, February 28, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment