Rick Ross anaweza kuwa ndiye best boss ever na hii ndiyo sababu, baada ya album yake kufika namba 1 katika charts amesherekea mafanikio hayo kwa kuwazawadia kila mmoja kati ya walioshiriki katika kuifanikisha albamu ya Mastermind.
Chanzo kimoja karibu na rappa huyo kimesema Ross aliingia sonara ya jeweler Rafaello & Co in NYC wiki iliyopita na kutumia kama dolla 250,000 kununua saa 6 kwaajili ya kuwazawadia wasanii na producers wa project yake ya "Mastermind." DJ Khaled, Meek Mill na Wale ni badhi tu ya waliopatiwa zawadi hizo.
Tuesday, March 25, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment