Mawswali mengi yametinga vichwani mwa watu wanofahamu utata uliowahi kutoke kati ya wake wa Swizz Beatz.
Maswali hayo yamejitokeza baada ya vyombo vya habari kupambwana vichwa vya habari visemavyo Swizz Beatz,Alicia Keys,Ex-Wife Mashonda watoka pamoja kwa Family Vacation
Haijulikani ilikuwaje ikawa hivi,je alikuwa ni Alicia Keys aliyemualika Mashondaama Mashonda ndiye aliyemfuata Keys home wakati miaka kadhaa ya nyuma alikuwa haisi kumlaumu juu ya uamuzi wake wa kumchukua aliyekuwa mumewe wa ndoa tangu 2004 mpaka 2008
Alicia na Mashonda sinaonekana wamemaliza tofauti zao na kukipa kipaumbele kile kinachoitwa putting family first baada ya kukutwa wakila bata pamoja na Swizz Beatz na watoto wao wote week end huko St. Barts.
Swizz Beatz Keys walifunga ndoa mwaka 2010 na wamebarikiwa mtoto mmoja,Egyp,Beatz pia ana watoto wawili na mama wengine.
0 comments:
Post a Comment