Will Smith, Ice Cube na Mark
Wahlberg ni baadhi ya wasanii waliotajwa na Green Label kama baadhi ya wana“Hip Hop
waliopenya Hollywood nakuwa The Best Rappers waliomudu kuwa waigizaji.
Zipo sababu za marapa kama Method Man kutototajwa kama waigizaji mahiri ambazo ni sambamba na kuigiza maeneo ya kawaida huwezi fananisha na watu kama Will
Smith,Tupac,Queen Latifa ama Mark Wahlberg,japo ana mvuto mbele ya kamera. Tazama picha hapo chini marapa hao,toka kushoto ni:Mark Wahlberg,Eminen,LL Cool J,Moss Deff,Method Man,Andrew 3000,Queen Latifa,Tupac.
0 comments:
Post a Comment