Dr. Dre kuna uwezekano mkubwa kuwa first rapper BILLIONAIRE bada ya kutangazwa kuwa amepata dili la kuwauzia Apple bidhaa zake za Beats Electronics.
Apple imeripotiwa kuinunua Beats kwa dola Billioni 3.2 inayomilikiwa na Dre na boss wa Interscope ,Jimmy Iovine ambao walianzisha utengenezaji wa bidhaa hizo tangu mwaka 2008 ambapo walianza na headphones pekee lakini sasa wanatengeza hadi bank off speakers,mziki wa magari nk.
Dili hilo imeripotiwa kumalizwa wiki ijayo na litamfanya Dr Dre kuwa top katika orodha ya Forbes' most recent list of hip hop's wealthiest artists.
Dre alishika namba2 katikab Forbes' most recent list of hip hop's wealthiest artists akiwa na utajiri wa dola millioni 550 nyuma ya Diddy alishika namba moja akiwa na utajiri wa dolla millioni 700.
Friday, May 9, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment