Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 5/05/2014 03:22:00 AM
No comments
Miamba ya hip hop Lil Wayne,2 Chainz & Rick Ross sambamba na pop star Justin Bieber,walimsindikiza bondia Floyd Mayweather Jr ulingoni katika ukumbi wa MGM Grand Garden Arena wakiongozwa na ngoma ya DJ Drama 2ailiyomshirikisha narappa 2 Chainz “My Moment."
Mayweather aliingia ulingoni kwa live performance ya Lil Wayne na Justin Bieber ambapo Lil Waynealitumia nafasi hiyo kutambulisha ngoma yake mpya toka kwa albamu yake ya Carter V single “Believe Me" Katika pambano hilo bondia Mayweather alimpiga kwa point mpinzani wake Maidana katika pambano la mizunguko 12 na kunyakua taji la welterweight world title.Katika mpambano huo ambao unasemekana iulikuwa mgumu kwa Mayweather,Maidanaalirusha ngumi kama 858na zilizofika ni 221 tu, upande wa Mayweather alirusha makonde 426 lakini yaliyopenya ni 230.
0 comments:
Post a Comment