Jarida la Complex limeandika Rihanna ameachana na record label alimokuwa akifanya kazi, Def Jam Recordings na sasa amesainishwa kama msanii rasmi wa Jay Z katika label ya Roc Nation.Rihanna alisainiwa na Def Jam Recordings mwaka 2005 wakati Jay Z akiwa ni company's president na baadae kuondoka na kuanzisha label yake ya Roc Nation mwaka 2008,kampuni inayo dili na full-service entertainment,kuandaa nda kuandika nyimbo,producer and engineer management; music publishing; touring,film & television;new business ventures na yote yahusianayo na music kwa ujumla.Roc Natio imesajili wasanii wakali kama Rihanna, Shakira, J. Cole, Rita Ora, Calvin Harris, NO ID, Timbaland, Santigold, DJ Mustard nk.
0 comments:
Post a Comment