Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 6, 2014

Baada ya mpambano wa masumbwi kati ya Floyd Mayweather Jr na Marcos Maidana kulitokewa mtiti wa fulani ulipeleke rappa Lil Wayne kutaka kuzichapa na mwalimu wa bondia Marcos Maidana.  TMZ Utata ulianza plae baada ya mpambanom huo kila upande ulikuwa na amsha amsha ya kupongezana,kupeana moyo,kushangilia ndipo iliporushwa chupa ya maji toka upande wa Bondia Marcos Maidana na kumpiga begani rappa Lil Wyne ambaye alikuwa upande wa Floyd Mayweather.Habari zaidi zinadai Wyne aliamnini chupa hiyo imerushawa na mmoja kati ya watu wa bondia Maidana ndipo tifu lilipoanza na rappa huyo kutaka kumvaa mwalimu wa bondia huyo lakini alizuiwa na walinzi na mabaunsa.Videa ya mkasa mzima inapatikana katika mtandao wa TMZ.

0 comments:

Post a Comment