Posted by djnicotracktz
on 5/06/2014 02:59:00 AMNo comments
The Met Gala zamani ilitambulika kama the Costume Institute Gala na aka the Met Ball,ni kama tamasha la kutunisha mfuko wa fedha linalofanyika New York mwaka America kila mwaka pia ni sehemu ya sherehe za ufunguzi wa annual fashion exhibit.Tamasha hili huudhuriwa na watu mahiri toka fani mbalimbali hususani wasanii,wanamitindo,wanamuziki na hata wafanyabiashara wakubwa.
Met Gala ilianzishwa rasmi mwaka 1971.
Met Gala iliyofanyka huko New York mwaka huu ilipambwa na shamlashamla kibao zikiwemo uwepo wa watu maarufu wailopendezesha zuria jekundu,ma star kama:Kim Kardashian and Kanye West, Selena Gomez,Taylor Swift,
0 comments:
Post a Comment