Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 7, 2014

 
Muimbaji toka katika label ya Roc Nation ambaye ni binti wa ma star Will Smith na Jada Pinket,Willow Smith amepamba vichwa vya habari vya mitandao mbalimbali baada kutumwa picha katika Instaram inayomuonyesha binti huyo wa miaka 13 akiwa na mwanaume mwenye umri wa miaka 20 akiwa kifua wazi wakiwa kitandani,mwanaume ambaye ni muigizaji filamu anayefahamika kwa jina la Moisés Arias,mshiriki wa filamu za "Hannah Montana anayetumia jina la Rico.

Hii si mara ya kwanza kwa Moisés Arias kuonekana akiwa na Willow Smith,washaonekana sehemu kadha wa kadha hata katika tamasha la Coachella na kwa picha zaidi ingia katika akaunti ya Instagram ya  Moisé

0 comments:

Post a Comment