Eminem kuweka historykwa kuwa rappa wa kwanza kuongoza tamasha katika uwanja mkubwa Wembley Stadium.Rappa huyo kutoka Detroit atasindikizwa na wasanii wengine katika tamasha hilo litakalofanyika July 11katika uwanja uliopo mjini London unaochukua watu 90,000.Tickets za tamasha hilo zitaanza kuuzwa siku ya ijumaa,May 9 kuanzia saa tatu asubuhi.
Baada ya kutumbuiza London,Eminem atafanya ziara katika viwanja vitatu vya mpira huko U.S.akiwa na Rihanna katika kili anachokiita ''three-city “Monster Tour,” ambayo itaanza August 7,Rose Bowl huko Pasadena, Calif.
Wednesday, May 7, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment