Wakati Selena Gomez amerudisha urafiki na rafiki yake wa zamani, Justin Bieber anatafuta wapya.
Muimbaji huyo wa "Confident" mwenye umri wa miaka 20,hivi karibuni ameonekana akiwa karibu na mrembo mspanish mwenye umri wa miaka 18,model
Yovanna Ventura.Walienda pamoja Las Vegas na hata kuhudhuria Floyd Mayweather fight,Bieber na model huyo pia walienda California kula bata pmoja.
Wawili hao wanaonekana wakiwa kimahaba japo Bieber anadai Ventura
ni rafiki tuYovanna yupo high school anagraduate mwezi June huko Miami Senior High School.
0 comments:
Post a Comment