Baada ya muongo mmoja tangu atoke na kujulikana katika muziki,John Legend kwa mara ya kwanaza amekuwa na ngoma ambayo imeshika namba moja katika Billboard Hot 100. 1 hit of his career with
Mwamba huyo wa muziki wa R&B kupitia wimbo wake wa “All of Me ” amefanikiwa kutinga namba moja na kuitoa ngoma ya Pharrell, “Happy” ambayo ilidumu namba moja kwa takribani wiki 10 katika Billboard Hot 100.Track “All
of Me” inapatikana katika album Ya Love in the Future,ambayo aliiachia mwezi August.Ngoma kali za John Legend zilizofanya poa zaidi zilikuwa “Ordinary People” ya mwaka 2005 na“Green Light” ya mwaka 2008 aliomshirikisha featuring André
3000 na zote ziliishia No. 24katika Billboard Hot 100.
Thursday, May 8, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment