Mashindi wa tuzo za Grammy,Alicia Keys amepata dili la kuwa kisura wa f Parfums za Givenchy.
Alicia Keys ambaye anatamba na track yake ya “Girl on Fire” ataanza kuonekana katika matangazo ya bidhaa hizo za Givenchy fragrance mwezi September.
Hii inakuwa ni mara ya kwanza kwa Keys kupata dili kwa ishu za urembo,awali amekuwa akifanya matangazo na Reebok, BlackBerry na American Express.
Thursday, May 8, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment