Wachezaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast,Kolo na Yaya Toure wamepatwa na msiba wa mdogo wao Ibrahim Toure(28) aliyefariki huko Manchester, England.
Marehemu Ibrahim pia alikuwa akipiga soka kama kaka zake na ameshachezea vilabu huko Egypt na Lebanon.
Raisi wa shirikish la mpira wa miguu wa Ivory Coast amewataka wa Ivorians kuwaombea wachezaji hao waliofikwa na msiba wakilitumikia taifa.”
Saturday, June 21, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment