Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, June 23, 2014

Rick Ross Run Out Of Detroit's Summer Jamz Concert By Over 100 People
Rick Ross alipangiwa kuwarusha watu wa Detroit katika HOT 107.5′s Summer Jamz Concert siku ya jumamosi usiku lakini ilishindikana baada yagari yake kuzuiwa getini na kundi la watu wapatao 100.
Tatizo kati ya kiongozi wa Maybach Music Group na watu wa Detroit may limetokea baada kutoka wimbo ulioachiwa hivi karibuni na msanii mzawa wa hapo Trick Trick "No Fly Zone," feat Royce Da 5'9." Wimbo ambao unabeba ujumbe usemao hakuna ruhusa ya msanii mkubwa ambaye hajamshirikisha msanii wa Detroit kufanya show katika mji huo.
Lengo la wimbo huo limefanikiwa kwa rappa Rick Ross kushindwa kuingia na kutumbuiza.
Kiongozi wa HOT 107., Jay Hicks aliwaelezea watu walihudhuria kilichojiri .

0 comments:

Post a Comment