Baada ya kulazwa kwa takriban wiki 2 tangu alivyopata ajali mbaya ya gari,Tracy Morgan amepata afdhali na ameruhusiwa kutoka hospitali japo atatakiwa kuendelea kupatiwa matibabu na kuhudhuria rehab.
Watu wa karibu na Tracy wamesema ametolewa Robert Wood Johnson University Hospital na sasa anahudhuria physical rehab center kwani bado hajapona kabisa kutokana na kuvunjia seheu kadhaa za viungo.
Saturday, June 21, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment