
Mpende ama umchukie Kanye West anaongea na watu wanamsikiliza. Rappa Kanye amemdiss raisi wa marekani,Barack Obama jana tarehe 19 june alipokuwaakihojiwa na Power 106 kwa kusema anafikiria si rahisi kwa raisi huyo kuleta mabadiliko akiwa ndani ya ikulu.
West (37) amesema pia President Obama anakosa power na pesa hata kama ana fikra nzuri na ni mwenye upeo mkubwa kwahivyo si rahisi kuleta ama kufanya mabadiliko akiwa ikulu sababu hawezi kutofautiana na wenye nguvu na maamuzi.
Kanye na raisi Obama hawana
history nzuri kutokana na kitendo cha rapa huyo kumpoka kipaza sauti Taylor Swift na kumwambia hakustahili kuchukua tuzo aliyopewa Kanye kitendo kilichpelekea raisi Obama kumuita Kanye ''jackass” (yaani mtu mjinga ama mshenzi wa tabia).
0 comments:
Post a Comment