Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, July 15, 2014

 
Mwanamke mmoja huko England amefanyiwa upasuaji (plastic surgery) ili afanane na reality star ampendaye.
Mwanamke huyo toka England aliyetambulika kwa jina la Claire Leeson alitumia dola za kimarekani 30,000 kufanyiwa upasuaji kuanzia usao mpaka kifuani na makalio ili afanane na reality star,Kim Kardashian kama anavyoonekana katika picha hapo juu.
Tazama orodha ya mahitaji na gharama zake hapo chini:
 Boob Job- $8500
Teeth Whitening-$4300
Hair Extensions-$7700
Make-up-$1700
Spray Tans-$1700
Nails-$850
Bum Padding-$600
Shoes and Clothes-$5400

Tukio kama hili lilitokea kwa shabiki aliyetaka kufanana na Justin Bieber
tu kwasababu anamzimia,shabiki huyo mwanaume mwenye umri wa miaka 33 aliyefahamika kwa jina laToby, altumia  kiasi cha dolla 100,000 za kimarekani sawa na Tshs 165,000,000 .
 

0 comments:

Post a Comment