Mtoto mmoja mfilipino mwenye umri wa miaka mitata,alisemekama amefariki siku ya ijumaa saa 3 usiku hivyo mazishi yake yalipangwa yawe kesho yake jumamosi saa 7 mchana.Wazazi,ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika taratibu za mazi na kumuaga mtoto huyo kanisani,mtu mmoja aliyepita kwaajili ya kuangalia sura ya mwisho alisema anahisi mtoto huyo anahema kwani aliona sehemu ya tumbo lake likituna na kusinyaa ndipo watu walipokuwa wakitafakari hayo wasijue cha kufanya,mtoto huyo alifungua macho.
Tuesday, July 15, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment