Karrueche Tran,26,ambaye kazama katika mapenzi kwa Chris Brown, 25.akihojiwa na BETtalk show Just Keke, Karrueche alisema Chris ni a celebrity,” il Riri ni “bigger” one.
Karrueche amesema ugumu anaopitia katika mahusiano yake na Chris ni kwasababu ni muimbaji maarufu na alikuwa katika mahusiani na muimbaji Rihanna ambaye ni superstar. Katika mahojiano hayo ambayo yatarushwa hewani July 16,Karrueche amefunguka pia na kusema yupo katika mashindano makubwa na Riri kwaajili ya Chris sababu anahisi mashabiki wa Rihanna’ambao ni zaidi ya millioni 14 katika Twitter wanamchukia ama hawamuelewi.
0 comments:
Post a Comment