Mtandao wa FOX Wilmington unaripoti kwamba,msichana mooja wa umri wa miaka 20-aliyetambulika kwa jina la Jasmin Virginia Grady,alifariki dunia kwa ajali ya gari baada gari alilokuwamo kupata ajalia akiwa hajajifunga mkanda.Taarifa toka kwa rafikizi zake wa karibu na ndugu zxake zinasema,Jasmin alikuwa shabiki mkubwa wa rappa Drake,alikuwa na ndoto za kumuona ama kukutanaa naye ana kwa ana siu moja lakini kwa bahati mbaya mpaka umauti umemfika ahakutimiza ndoto zake.Marafiki zake wamesema Jasmin aliwahi kutamka kama hatofanikiwa kumiona rapa huyo ana kwa ana basi ata ikitokea akifariki atafarijika kama rappa huyo atahudhuria mazishi yake.
Kufuatia marafiki na ndugu zake kupata taarifa hizo,wakaanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii isemayo #DrakeSingForJasmin
Tuesday, July 15, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment