Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, July 19, 2014

 
Christina Milian na Lil Wayne ni wapenzi,haya ni mahusiano mapya katika anga ya mastaa,habari hizi zimekuja ikiwa ni mwezi mmoja tu tangu muimbaji Christina Milian iitangazwe ameachana na aliyekuwa mpenzi wake Jas Prince.
Habari hizi zimepewa uzito pale ambapo Drake alipokuwa akiendesha tamasha la tuzo za ESPY (July 16), camera zilimulika upande alipokuwa Lil' Wayne na kumona amemshika mkono Christina Milian.
Lil Wayne,31 hivi karibuni alitangaza kumsaini muimbaji Christina Milian32,katika lebo yake ya YMCMB.
On September 4, 2009, Milian na R&B ssinger/songwriter The-Dream walifunga ndoa huko Las Vegas,,na wakapata mtoto wa kike,Violet February 26, 2010. Milian na The-Dream wakatangaza kuachana July 12, 2010 .Milian alicheza filamu kama kinara mwaka 2003 Love Don't Cost a Thing.

0 comments:

Post a Comment