Bondia Floyd Mayweather Jr.37 siku ya alhamis alitangaza kustaafu masuala ya masumbwi.
Bondia Floyd Mayweather Jr. amesema amebakisha mapamano 6 kufunga ukurasa wa masumbwi ulingoni ambapo amesema mpambano wa mwisho ni mwezi September 2015 miezi 14 tu toka sasa.
Akiongelea mpango wake huo,Mayweather Jr amesema kingine anachokitazama ni kuipita rekodi iliyowekwa na na bondia champion Rocky Marciano ya ushindi wa 49-0 ambapo Mayweather anataka kushinda mapambano 50 bila kupoteza.
Bondia Floyd Mayweather Jr atapambana mwezi September na Maidana pambano ambalo limeandaliwa na kampuni ya Oscar De La
Hoya’s Golden Boy Promotions ilitangazwa siku hiyo ya alhamis katika mkutano na waandishi wa habari huko Los Angeles.
Saturday, July 19, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment