Floyd Mayweather amejikuta akiropoka kuhusu ugomvi uliotokea hukoVegas mwezi May kwamba chanzo ni kutembea mke wa rappa T.I.Bondia huyo alijukuta akisema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu mpambano wake unaokuja wa marudiano na bondia Marcos Maidana ambao utafanyika mwezi september.
Bondia Mayweather alikuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari ndipo lilipoibuka swali "What about T.I.?" ndipo bondia Floyd Mayweather Jr alipojibu '' I was f***ing his bitch" akimaanisha ametembea na mkewe.
Saturday, July 19, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment