\\
Christina Milian amekuwa gumzo kwa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii baada ya kusemekana anatoka na na bosi wake toka Young Money Entertainment,rappa Lil Wayne.
Christina Milian,32 mwishi wa wiki alikuwa katika celebrity kickball iliyoandaliwa na Chris Brown
na ndipo timu ya waandishi wa habari walipomzingira kumhoji kutaka kujua ama kuthibitisha mahusiano yake na rappa Weezy.
Christina
alikanusha kuhusiana na rappa huyo baada ya kuulizwa kama anajihusisha kimapenzi na mmoja kati ya anaofanya nao kazi,kati ya producer ama manager,akajibu hakuna kitu kama hicho.
Monday, July 21, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment