Young Money star Drake na R&B star Chris Brown wamekuwa katika bifu kwa muda mrefu huku sababu kubwa ni pop sta Rihanna.Hivi karibuni mastaa hao waliushitua ulimwengu baada ya kutangazwa wapo studio na nafanya kazi pamoja,maswali mengi yalikuwa imewezekananaje kwa mahasimu hao.
Baada ya siku kadhaa za sintofahamu,habari zinatufikia kwamba mfanikishaji wa jambo hilo ni Producer Mally Mall .
Producer Mally Mall ndiye aliyemaliza bifu kati ya Drake na Chris Brown baada ya kuwaita nyumbani kwake huko Las Vegas.Producer huyo anasema haikuwa rahisi ila aliwasihi wamalize tofautizao na watumie ujana na umaarufu wao kujitengezea pesa.
Monday, July 21, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment