Selena Marie Gomez (amezaliwa 22 Julai 1992) ni mwigizaji filamu,tamthilia, Mwanamitindo, Mwigizaji na mwimbaji wa kike kutoka nchi ya Marekani. Alianza kuigiza filamu akiwa na umri wa miaka kumi tu. Baadaye akaanza kuimba pia katika bendi, na kutoa albamu kama Kiss & Tell, A Year Without Rain na When the Sun Goes Down.
Badhi ya Filamu alizocheza:
2003
Spy Kids 3-D: Game Over,
2005
Walker, Texas Ranger: Trial by Fire
2008
Another Cinderella Story
2011
Monte Carlo
2011
The Muppets
Tamthilia:
2007–08
Hannah Montana
2008
Disney Channel Games
2011
PrankStars
Mastaa wengine wanaosherekea siku yao ya kuzaliwa leo:
Danny Glover Facts
68 years old,
Tuesday, July 22, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment