Rappa mwenye tuzo ya Grammy,Kanye West amewatoa wasiwasi mashabiki wake kwa kuwajibu juu ya kutoonekana ama kujibu tweets zao.Akiongea na waandishi wa jarida la GQ Mr. West alisema,kwasasa yeye na mkewe Kim Kardashian wapo katika mpango wa maisha mapya kuhusu mitandao ya kijamii.
Rappa Kanye West amesema kwasasa yeye na Kim wanajifunza namna ya kushiriki katika mitandao ya kijamii kama timu.Amefajifananisha wao ni kama star wa kikapu wa ligi ya NBA LeBrons,na kuongeza kusema mke hastahili kuishi kama mchumba ama mume kuishi kama muhuni,hivyo wanajipanga kuja katika mitandao ya kijamii kama timu.
Tuesday, July 22, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment