Chris Brown sasa atapumzika,ikiwa ni karibu miaka 6 imepita tangu afanye tukio la kumshambulia na kumsababshia mauimivu namajeraha aliyekuwa mpenzi wake,Rihanna mwaka 2009,kesi hiyo sasa imefikia mwisho.Hakimu wa mahakama kuu ya Los Angeles,Judge James R. Brandlin,siku ya ijumaa alisema Brown amemaliza adhabu yake ya kifungo cha nje na muda wa majaribio ambapo alikuwaha akishiriki kazi za umma,darasa la ushauri nasaa na rehab.
Brown aliingia matatani baada ya kumshambulia na kumsababishia mareha na maumivy aliyekuwa mpenzi wake,Rihanna mwaka 2009 masaa kadhaa kabla ya kuhudhuria sherehe za utoaji wa tuzo za Grammy. Brown alitumikia kifungo cha miezi miwili na nusu jela baada ya kukutwa tena na kosa la kumshambulia mtu mmoja huko nje ya hotel hukoWashington October 2013.Katika kuthibitisha hayo Chris Brown kupitia akaunti yake ya Tweeter aliandika: IM OFF PROBATION!!!!!!!! Thank the Lord!!!!!!
0 comments:
Post a Comment