Baada ya kumalizana na rappa Remy Ma mapema wiki hii, Angie Martinez amemhoji French Montana katika Power 105.1 siku ya alhamisi.Rappa huyo aliyetamba na track yake ya The “Pop That” na ambaye amekuwa maarufu katika mtandao wa TMZ ambao umakuwa ukimuandama kuhusu girlfriend wake Khloe Kardashian.
Rappa French Montana amesema bosi wake ambaye ni Diddy ndiye aliyemkutanisha na mmrembo huyo mdogo wa reality strar Kim Kardashian,“Khloe.Baada ya hapo tukafahamiana a kilichofuata ni kutembeleana kama marafiki na mengineyo yakaendelea.
Khloe amekiri kuwa na furaha mara zote anapokuwa na rappa huyo na hivyo kukiri wana mahusiano.
Friday, July 25, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment