Lil Wayne amefanya mabadiliko makubwa upande wa biashara.
Kiongozi huyo wa The Young Money amefungua kampuni yae binafsi ya udalali wa wanamichezo na ameanza upande wa mpira wa miguu kwa kumchukua mpachika magoli mahiri Cristiano Ronaldo .
Taarifa zaidi zinada richa ya rappa Lil Wyne kuwa mpeda michezo ni rafiki wa mchezaji huyo wa timu ya taifa ya Portugal na dalali wake bwana Jorge Mendes.
Wayneatashirikiana na Polaris Sports kampuni ambayo dalali wa Ronaldo anafanya nayo kazi.
Lil Wyne si rappa wa kwanza kuingia katikabiashara ya michezo,rappa Jay Z mwaka 2013 alifungua kampuni yake ya michezo ya Roc Nation Sports ambapo aliwasaini mastar kama Kevin Durant, CC Sabathia, Skylar Diggins na Victor Cruz.
Friday, July 25, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment