Rappa mshindi wa tuzo za Grammy,Lil Wayne ameongelea kuhusu ziara yao ya pamoja inayokwenda kwa jina la "Drake vs. Lil Wayne" ambayo itafanyika katika miji 31 ya Marekani.
Katika maelezo yake rappa Lil Wyne amesema mashabiki wategemee kuona kitu kinachoitwa #YoungMoneyBattle# ambapo utakuwa ni mpambano wa michano "Drake vs. Lil Wayne" .
Ziara hiyo ya 31-city battle royale itaanza mwezi August 8huko Buffalo, NY na kuelekea New York City, Chicago, Atlanta, San Francisco, Houston,
Dallas, na L.A.
Weezy pia ameongelea albamu yake ya Tha Carter V amewashirikisha Nicki Minaj na Drak.
Wednesday, July 9, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment