Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, July 9, 2014

 
Washington ni jimbo la pili nchini Marekani kuhalalisha Bangi kama kiburudisho, baada ya kuhalalishwa kwa kilevi hicho katika jimbo la Colorado ambapo jimbo hilo hujipatia mamilioni ya dola kila mwezi kwa kutoza ushuru biashara za Bangi kwa wanaoitumia kujiburudisha.
Hata hivyo utaratibu wa kuuza bidhaa hiyo utadhibitiwa ipasavyo katika jimbo hilo.
Ni maduka 25 pekee yaliyoruhusiwa kuuza Bangi hadi sasa, ingawa maafisa wanaamini kuwa idadi ya maduka huenda ikaongezaka na kufika miamoja.
Ukiachilia majimbo ya Colorado na Washington Marekani imeruhusu majimbo 23 matumizi ya Bangi kwa sababu za kimatibabu.

0 comments:

Post a Comment