Bondia mkongwe Mike amempendekeza mshindi wa tuzo ya Oscar,Jamie Foxx aigize filamu kuhusu maisha yake.Mike Tyson aliyasema hayo alipokuwa Toronto akiongea na waandishi wa habari na kusema kuhusianan na project yake ya filamu ya maisha yake iliyopewa jina la ''Undisputed Truth'' tayari ameshaongea na Foxx kuhusu kufanya filamu hiyo itakayoelezea hadithi ya maisha ya mwanamasumbwi huyo mstaafu.Tyson amesema anaamini akifanya kazi na Jamie Foxx itakuwa kazi bora zaidi.
Saturday, July 26, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment