Jason Derulo alifunguka juu ya kuvunjika kwa mahusiano yake na aliyekuwa mpezi wake,Jordin Spark alipokuwa katika mahojiano na mtangazaji
Ryan Seacrest September 29.
Mwaka 2013, Jason Derulo alitoa ngoma ulioitwa “Marry Me,”na kumshirkisha mpenzi wake kwa wakati huo, Jordin Sparks katika video na wengi walivutiwa kwani walionyesha kuzama kimapenzi .
Sasa swali kubwa kwa wapenzi wa muziki ni nini kimetokea mpaka wawili hao kufikia kuachana.
Jasdon akiongea wakati akihojiwa amesema kipindi hiki cha mwishoni penzi lao lilijaa matatizo kwa sababu mbalimbali ambazo wapenzi na waliopo katika mahusiano wanapitia,wivu,kutoaminiana lakini kikubwa ilikuwa msukumo wa kufunga ndoa haraka ambao ulileta msuguano na mabishano mpaka leo tumefikia hapa tulipo.
Tuesday, September 30, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment