Mcheza filamu mahir wa huko marekani amabye amepata umaarufu mkubwa kutokana na filamu yake ya The Good the bad & the ugly,Clint Eastwood ametoa ushauri wa bure kwa yeyote anayetarajia kuoa.
Clint aliyasema hayo alipoojiwa na mtandao wa TMZ kufuatia mkewe Dina Ruiz kum buruza mahakami kudai talaka.Clint Eastwood amesema: don't do it without putting in serious thought.
So dudes planning to propose ... you gotta ask yourself one question.
Do you feel lucky? Don't Rush Into Marriage
Monday, November 11, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment