Rappa Eminem ameendeleza ubabe katika muziki wa hip hop kwa kuwa mwana hiphop wa kwanza kuwa na track 4 zilizoshika namba za juu katika Top 20 of Billboard's Hot 100,recodi iliyokuwa ikishikiliwa na kundi la muziki maarufu zaidi ulimwenguni la The Beatles.
Singo ya The Monster" aliyomshirikisha Rihanna ndiyo iliyomsaidia Eminem kufikia mafanikio hayo kwani imefika mpaka namba 3 wakati sigles kama"Berzerk," "Survival"na "Rap God"zimeshika namba 15, 16, na 17.Kabla ya rappa Eminem kufikia hatua hiy kundi la The Beatles lilishikilia recodi hiyo kwa miaka 50,yaani tangu mwaka 1964 ambapo waliingiza nyimbo 6 ndani ya wiki mbili katika top 20 kwa nyimbo kama "Can't Buy Me Love, "Twist and Shout," "She
Loves You,"I Want to Hold Your Hand,"Please Please Me," na"I Saw
Her Standing There.
Rappa 50 Cent mwaka 2005,T-Pain 2007-08, Lil Wayne2008 na Ludacris 2010 waliingiza nyimbo kadhaa ila nyingi zilikuwa za kushirikishwa.
Monday, November 11, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment